"Nchi yetu imefika mahali pa hovyo"- Msigwa

Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (CHADEMA), Peter Msigwa.

Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (CHADEMA), Peter Msigwa amefunguka na kudai nchi ya Tanzania imefika mahali pa hovyo kutokana na watawala kuiendesha nchi kwa mtazamo wao na sio kufuata sheria na kanuni zilizopo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS