Mambo 11 muhimu kuhusu Abraham Lincoln
February 12, 1809, alizaliwa aliyekuwa Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln . Abraham Lincoln alikuwa maarufu sana wakati wa utawala wake hasa kwa kuthamini haki za wanawake na kupiga vita baishara ya utumwa nchini Marekani na duniani kwa ujumla.

