Wasanii wapewa mbinu mpya ya 'Kiki'

Mwanamuziki wa bongo fleva aliyetamba na kibao cha 'Na Yule' Ruby amesema zipo njia nyingi za wasanii kupata kiki kuliko kupiga picha za utupu au kudhalilishana na badadala yake wanaweza kutumia njia aliyofanya yeye ya kuutengeneza umbo lake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS