"Wanataka nife" -Mrema Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini na mwanasiasa mkongwe, Agustino Lyatonga Mrema, amekanusha taarifa za kifo ambazo zilianza kusambaa mitandaoni mapema leo. Read more about "Wanataka nife" -Mrema