Ataka wanaotafuta 'Kiki' wakemewe

Mwanamuziki Nuru The Light ambaye aliwahi kutamba sana na ngoma ya 'Muhogo, andazi' amewataka mashabiki kuwakemea wasanii wanaofanya muziki wa kiki kwani kufanya hivo hakuwezi kufikisha mbali sanaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS