Safari za mwisho wa mwaka zaliathiri jiji la DSM Madereva katika kituo cha mabasi cha Makumbusho Jijini Dar es Salaam wamelalamikia upatikanaji wa abiria kuwa mdogo katika kipindi hiki cha sikuu, kutokana na watu wengi kutokuwepo mjini. Read more about Safari za mwisho wa mwaka zaliathiri jiji la DSM