CCM waonywa kuhusu Askofu Kakobe Mbunge wa wa Tarime John Heche amewaonya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kuwa kama wanataka kumjibu Askofu Zacharia Kakobe kwa niaba ya serikali iliyopo madarakani basi wajibu kwa hoja na siyo kuropoka. Read more about CCM waonywa kuhusu Askofu Kakobe