Kamati ya TFF yasubiriwa kutoa maamuzi
Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) inasubiriwa kutoa maamuzi juu ya mechi mbili za kombe shirikisho ambazo hazikufanyika katika hatua ya 64 Bora kutokana na baadhi ya wachezaji kukosa leseni.