Wizara ya Nishati yatakiwa kujitathmini Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati ijiridhishe na ubora wa vifaa vinavyotumiwa na wakandarasi katika miradi ya umeme. Read more about Wizara ya Nishati yatakiwa kujitathmini