Asitokee mtu yeyote kifua mbele - Mrisho Gambo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, amesema kuwa asitokee mtu yeyote akasimama kifua mbele kuwa miradi inayoendelea kwenye halmashauri zake mkoani Arushainatekelezwa na halmashauri zenyewe, wakati mkoa hauna uwezo wa kulipa mishahara watumishi wake

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS