Samia kuzindua mradi wa tofauti Iringa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuzindua mradi wa kusimamia maliasili na kuendeleza utalii wa kanda ya kusini ujulikanao kama REGROW (Resilient Natural Resource for Tourism and Growth).

