Mkurugenzi aagizwa kuongeza malipo
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa amemwagiza Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele (NARI) Dkt Omari Mponda, kuwaongeza malipo ya kazi wafanyakazi wa kituo hicho katika mradi wa kubangua Korosho.