Mr. Paul atoa siri iliyomfanya aache muziki Msanii wa muziki wa bongo ambaye ni miongoni mwa wasanii wachache walioanza na game ya bongo Fleva, Paul Mbena maarufu kama Mr. Paul, ameweka wazi sababu iliyomfanya yeye aache muziki. Read more about Mr. Paul atoa siri iliyomfanya aache muziki