Mali za CCM zamfikisha mahakamani Kiongozi wake
Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai Ole Sabaya ambaye amesema alifunguliwa kesi nne kwa sababu ya kutetea mali za CCM na kudai wapo viongozi wa Chama na Serikali ambao wanahusika na ufujaji wa mali za Chama.