Klabu yatimua benchi la ufundi Klabu ya soka ya Ajax Amsterdam ya Uholanzi imelitimua benchi lake lote la ufundi likiongozwa na kocha mkuu Marcel Keizer baada ya kufanya vibaya kwenye ligi ya nyumbani na ligi ya Mabingwa Ulaya. Read more about Klabu yatimua benchi la ufundi