Madee aongeza jeshi Msanii Madee ambaye pia anafahamika kuwa mmoja wa waasisi wa kundi la muziki la Tip Top, ameamua kuongeza jeshi baada ya kuongeza wasanii ambao anawasimamia kazi zao. Read more about Madee aongeza jeshi