Wazee 4000 wapatiwa ukombozi Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amekabidhi kadi za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa wazee 4000 wa wilaya ya Ruangwa ili waweze kumudu gharama za matibabu bila kulazimika kuwa na fedha taslimu. Read more about Wazee 4000 wapatiwa ukombozi