"Nimechoshwa na tabia za Watanzania" – Ruby Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ruby, amewatolea povu watanzania kutokana na tabia zao za kuongea sana na kuwakatisha watu tamaa, badala ya kuwatia moyo na kuwafariji, baada ya post yake instagram. Read more about "Nimechoshwa na tabia za Watanzania" – Ruby