NEC yamvimbia Mbowe Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, Ramadhan Kailima, amesema, chama cha siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume ihairishe kwa kuwa haiko kumshawishi mtu au chama kushiriki. Read more about NEC yamvimbia Mbowe