"Msanii Radio anapigania uhai wake" - Uongozi
Msanii wa muziki wa nchini Uganda Moses Nakintije Ssekibogo maarufu kama Radio, bado anaendelea kupigania uhai wake kwenye hopsitali ambayo amelazwa nchini humo, baada ya kupoteza fahamu kutokana na kipigo.

