Magufuli amuandikia Kenyatta barua
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kufuatia vifo takribani 36 vilivyotokana na ajali Dec 31 2017 katika barabara ya Nakuru - Eldoret nchini Kenya.