Roma amtahadharisha Stamina

Rapper Bonventure Kabogo maarufu kama Stamina anayeuwakilisha vyema mkoa wa Morogoro ,yuko mbioni kuachana na chama la ukapera baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS