Magufuli ataka Bodi ya wadhamini UVCCM kuvunjwa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, John Pombe Magufuli ametaka kuvunjwa kwa bodi ya wadhamini ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM na kuwataka viongozi watakaochaguliwa kuhakiki miradi yote ya umoja huo kuanzia ngazi ya chini.