Dudu Baya aamua kumrudia Mungu Msanii wa Bongo Fleva Dudubaya ameamua kutupilia mbali matumizi ya pombe na kuiambia Enewz pombe ilikuwa inamuweka mbali na Mungu kwa kuwa mlevi muda wote na kuonesha kuchukizwa na marafiki wanaopenda kushawishi ulevi. Read more about Dudu Baya aamua kumrudia Mungu