Ditto afunguka kuhusu Chid Benz Msanii wa Bongo Fleva Ditto ameonyesha kukerwa na watu wanaombeza mkali wa michano Chid Benz na kusema kumng'ong'a Chid si kumsaidia ni kumuongezea matatizo. Read more about Ditto afunguka kuhusu Chid Benz