Maalim Seif aungana na Rais Magufuli
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, katika kuomboleza vifo vya askari 14 waliouawa nchini Kongo na wengine kujeruhiwa, huku akiwapa pole wafiwa wote.