Waathirika wa bomoabomoa wakumbukwa

Wafanyabiashara zaidi ya 550 waliovunjiwa vibanda vyao na kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO) mjini Dodoma wanatarajiwa kupatiwa eneo kwaajili ya kuwawezesha kuendelea kufanya biashara zao kama kawaida.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS