Lissu atoa ya moyoni kwa watanzania
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu (CHADEMA), aliyelazwa katika Hospitali ya Nairobi Kenya baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana amewashukuru wananchi kwa sala zao kwani hivi sasa anaweza kukaa bila kuegemea kitu.