TFF yamtangaza mchezaji bora Mchezaji wa timu ya Singida United ya Singida, Mudathir Yahaya amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu soka Tanzania Bara (VPL) kwa mwezi Novemba. Read more about TFF yamtangaza mchezaji bora