Mzee wa miaka 70 ajinyonga kisa mapenzi Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 70 katika kaunti ya Homa Bay nchini Kenya, amejitoa uhai baada ya kuachwa na mkewe wa pili kwa kumkimbia na kumuachia upweke wa hali ya juu. Read more about Mzee wa miaka 70 ajinyonga kisa mapenzi