Mchezaji wa Yanga aumia Daktari wa timu ya taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars ) Dr. Richard Yomba amethibitisha kuwa mlinzi wa timu hiyo na klabu ya soka ya Yanga Kelvin Yondani atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili. Read more about Mchezaji wa Yanga aumia