CCM yainyoosha upinzani Chama cha Mapinduzi CCM kimevigalagaza vyama vvya upinzani na kuibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa wabunge, kwenye majimbo matatu ya Songea Mjini, Longido na Singida Kaskazini. Read more about CCM yainyoosha upinzani