Wastara hakufuata utaratibu – Bongo Movie
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba, amelaumu kitendo cha msaniii mwenzao Wastara Juma kulalamika miatandaoni kuwa anaumwa na kuhitaji msaada, bila kutaarifu uongozi wake ili waweze kumsaidia.

