Marufuku kulazimisha kodi ya mwaka - Lukuvi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amewataka wamiliki wa nyumba nchini kuwapa fursa wapangaji kulipa kodi ya mwezi mmoja mmoja badala ya miezi sita au mwaka. Read more about Marufuku kulazimisha kodi ya mwaka - Lukuvi