Zanzibar Heroes yafanya maajabu CECAFA

Timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Rwanda kwenye mchezo wake wa kwanza Kundi A michuano ya CECAFA Challenge inayoendelea nchini Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS