Atiwa mbaroni kwa kupiga picha mabweni yenye ufa Imeripotiwa kwamba Mwanafunzi aliyepiga picha na kuripoti nyufa kwenye majengo ya mabweni ya chuo kikuu cha Dar es salaam amekamatwa na polisi. Read more about Atiwa mbaroni kwa kupiga picha mabweni yenye ufa