Serikali yaagiza kuweka vituo vya upimaji mipakani
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha, ameiagiza Tume ya Nguvu za Atomiki nchini, kuhakikisha inaweka vituo vya ukaguzi wa viwango vya mionzi kwa bidhaa zote zinazoingia na kutoka nchini katika mipaka yote