Ndege mpya ya mizigo yawasili Tanzania
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itafanyia kazi ombi la kununua ndege nyingine ya mizigo kupitoa ombi la Shirika la ndege ya Tanzania kutokana na fursa za mizigo ilizonazo Tanzania ambapo kwa mwaka huu jumla ya tani elfu tisa zinategemewa kusafirisha kwenda