Rais ampeleka Wallace Karia Switzerland
Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), Wallace Karia kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa (TFF) kwa kipindi cha miaka minne ijayo