Madawa ya kulevya kuisha nchini

Madawa ya kulevya

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Rogers William Siyanga, ameweka wazi mikakati iliyowekwa na mamlaka yake ya kupambana na madawa za kulevya, ili kumaliza kabisa tatizo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS