Mtoto adaiwa kutekwa na kuleweshwa madawa
Mtoto mwenye umri wa miaka 13 mkazi wa wilaya ya Korogwe kijiji cha Hale mkoani wa Tanga (jina linahifadhiwa), ametekwa na mtu mmoja aliyekua kwenye gari nyeupe, baada ya kumwambia ‘toka toka nje unaitwa na baba yako’ na kutokomea nae.