Wanafunzi wafariki na wengine wakijeruhiwa Dodoma
Wanafunzi wawili wa kike katika shule ya sekondari Mpalanga mkoani Dodoma wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Canter iliyokuwa imebeba wanafunzi 46 wakitoka shuleni kwao kuelekea Magaga sekondari kwenye michezo ya UMISETA.