Wanafunzi waliojeruhiwa
Ajali hiyo imetokea leo Mei 11, 2023, katika Kijiji cha Chidilo Tarafa ya Chipanga wilayani Bahi mkoani Dodoma, waliofariki ni Neema Yohana Hoya (17), mwanafunzi wa kidato cha tatu na Magreth Juma (19).
Wanafunzi 31 wamepelekwa hospitali ya Rufaa Dodoma kwa matibabu zaidi na wanafunzi 14 wamepatiwa matibabu zahati ya Mpalanga.
Jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma bado zinaendelea.