Baa 89 zenye kelele zafungiwa
Baraza la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini NEMC limezifungia baa 89 nchini kutokana na uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele huku likitoa muda wa wiki mbili kwa baa na kumbi za starehe hizo kulipa faini ya shilingi milioni 5 kwa kuwa baa hizo zimekuwa na makosa ya kujirudia