Mafuriko yaua mamia ya watu DRC Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaomboleza takribani vifo vya watu 400 waliokufa katika mafuriko kwenye wilaya ya Kalehe jimboni Kivu Kusini taarifa zinasema kuwa hadi sasa watu 300 wamezikwa. Read more about Mafuriko yaua mamia ya watu DRC