Tuhuma za siri kwa Urusi kuhusu Ukraine

Mashirika ya kijasusi ya Ukraine yaliripoti wiki hii kwamba yalifichua mpango wa kusafirisha injini za ndege ya kijeshi ya An-74 kutoka Ukraine hadi Iran.wachunguzi wa Ukraine wanadai kwamba Iran imekuwa ikitumika kama nchi ya kati tu ilhali Urusi anaweza kuwa mnunuzi halisi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS