Wanaotaka kusafiri saa tisa usiku waombe leseni

Mabasi ya Mikoani yameruhusiwa kuanza  safari zake saa tisa usiku ambapo Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeagiza Wamiliki wa Mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wafike katika Ofisi zao kuomba leseni

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS