Siogopi kutukanwa - Dogo Janja
Rapa kutoka 'Tip Top Connection' anayewakilisha A City, Dogo Janja amefunguka na kusema kwamba katika matumizi ya mitandao ya kijamii anaogopa sana watu wanapo hariri (edit) picha kuwa kuongeza au kupunguza kitu kwenye sura ya mtu.