ACT wameanzishwa kuua upinzani - Lissu
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki amefunguka kwa kusema chama ACT-Wazalendo kinatumiwa katika kuvunja upinzani uliopo nchini na serikali ya CCM.