KITUO KIPYA Muonekano wa pembeni wa Kituo kipya cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam, kinachoendelea kujengwa ambapo inaelezwa baada ya kukamilika kitakua ndio kituo cha kisasa zaidi hapa nchini tangu tupate Uhuru. Read more about KITUO KIPYA